Rasilimali

Tovuti hii ina data nyingi pamoja na vipimo na data za kila kielelezo kilizchofanyiwa utafiti kwenye milima ya Tanzania. Aidha, tovuti hii inazo taarifa za awali za utafiti zilizonakiliwa kielekroniki, vifaa vya elimu vinavyolenga mamalia wa Tanzania, machapisho ya jumla na ya kisayansi juu ya wanyama hawa wa pekee na tovuti zingine za rejea juu ya mamalia wa Tanzania.

    Katalogi ya Vielelezo
    Kumbukumbu za utafiti
    Vifaa vya Elimu
    Marejeo

Tovuti za rejea

    Tanzania Mammal Atlas Project

    Unaweza kupata taarifa za ziada kuhusu mamalia wa Tanzania kwa kuangalia tovuti hii yenye taarifa nyingi.

Bonyeza hapa. >>

Black Rhinoceros (Diceros bicornis)
Black Rhinoceros (Diceros bicornis)

Courtesy of: W. T. Stanley. (c) Field Museum of Natural History. https://mm.fieldmuseum.org/94ca4749-85aa-4ae5-ac2d-8bca7c0f89df (accessed on 21 Jan 2024)